Marekani Yazungumzia Vitisho vya Urusi .......Ni Baada ya Putin Kutangaza Kombora Jipya Linaloweza Kutua Popote
Marekani imepuuzia mbali mtiririko
wa madai yaliotolewa na Rais wa Urusi Vladimir Putin kuwa ana mkusanyiko wa
mkakati wa silaha mpya za nyuklia ambazo zinaweza kupiga eneo lolote duniani.
Ikulu ya White House na Wizara ya Ulinzi zimetupilia mbali Alhamisi kauli hizo
na kuziita ni za kisiasa, wakisema jaribio la Russia kuboresha nguvu zake za
nyuklia limekuja bila kushangaza na haliwezi kuibabaisha...
Comments
Post a Comment