Maelekezo ya Rais
Rais wa Rwanda, Paul Kagame
akizungumza na wajumbe wa mkutano wa 15 wa kila mwaka wa viongozi wa Serikali
nchini humo unaofanyika katika Chuo cha Mafunzo Cha Jeshi la Ulinzi Rwanda,
Gabiro. Zaidi ya maofisa 300 wa Serikali kuu na Serikali za mitaa wanahudhuria
mkutano huo wa siku nne. (Picha na mtandao).
Comments
Post a Comment