Posts

Showing posts from March, 2018

Marekani Yazungumzia Vitisho vya Urusi .......Ni Baada ya Putin Kutangaza Kombora Jipya Linaloweza Kutua Popote

Marekani imepuuzia mbali mtiririko wa madai yaliotolewa na Rais wa Urusi Vladimir Putin kuwa ana mkusanyiko wa mkakati wa silaha mpya za nyuklia ambazo zinaweza kupiga eneo lolote duniani. Ikulu ya White House na Wizara ya Ulinzi zimetupilia mbali Alhamisi kauli hizo na kuziita ni za kisiasa, wakisema jaribio la Russia kuboresha nguvu zake za nyuklia limekuja bila kushangaza na haliwezi kuibabaisha...